BAADHI yetu hatuna kucha zenye afya na zinazopendeza kutokana na
mazingira hayo wakati mwingine tunataka kufanya mabadiliko kidogo kwa
kuzingatia uwezo.
Unaweza kupata kucha za bandia zinazopendeza kama kucha zako taabu ni
ununuzi na utunzaji wake.
Kucha hizi hupatikana kwa wataalamu wa masuala ya urembo lakini nataka
kusema pamoja na uzuri wa kucha hizo hauwezi kufikia kucha zako za
asili. Kucha hizi bandia wakati mwingine huvuruga kabisa kucha zako za
asili kwa hiyo zinahitaji uangalifu mkubwa wa kuziweka na utunzaji wake
na ni vyema mtaalamu akakuelekeze.
No comments:
Post a Comment